User-agent: Mediapartners-Google Disallow: User-agent: * Disallow: /search Allow: / Sitemap: https://ramoexclussive.blogspot.com/sitemap.xml

4.8.17

BEEF ZITO BAADA YA BARAKA DA PRINCE KUFUKUZWA ROCKSTAR || Ramoexclusive.com



                                                                                                             kisa kuuza mziki wasafi.com      .Baraka The Prince 

amedai kuwa yeye hawezi kugombana na Alikiba na wala hategemei kuja kumkosea kwa kuwa ni moja kati ya watu ambao wanampenda sana yeye pamoja na sanaa yake.

“Unajua ukidili wa watu wa Instgram wanaumiza sana kichwa kwa sababu mimi nipo kwenye label moja na Alikiba, hivyo Alikiba ni brother wangu na naishi naye kama kaka yangu kabisa, pia ni miongoni mwa watu ambao wananipenda sana, hivyo sitegemi kuja kumkosea au hata kugombana naye sitegemi kitu kama hicho, sema watu walianza kuongea hivyo baada ya kuona siongozinaye kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, watu wamezoea kuniona kila anapokwenda Alikiba niko naye kwa hiyo kuna sehemu zingine mimi sipo sababu sina sababu ya kuwepo, Alikiba amekuwa ni mtu ambaye hapa nchini hakai sana kwa kipindi hichi ndiyo maana wanakuwa hawaoni tupo pamoja" alisema Baraka The Prince 


Mbali na hilo Baraka The Prince amesema kuwa mkali huyo wa Aje hivi sasa yupo kwenye maandalizi ya kuachia kazi yake mpya baada ya Aje kusumbua zaidi ya mwaka mzima. Alikiba na Baraka The Prince licha ya kuwa chini la label moja ya  RockStar4000 wasanii hao pia waliachia kazi ya pamoja ambayo inafahamika kama 'Nisamehe'

No comments:

Post a Comment